Please log in to access this page.
Please log in to access this page.
Please log in to access this page.
Please log in to access this page.
Please log in to access this page.
Please log in to access this page.
Please log in to access this page.
Please log in to access this page.

US Agency for Global Media USAGM

News and Information from Around the World

42 Items
16 Sep 2026, 09:57 GMT

Kufanya ngono na kufikia kileleni kunaweza kusaidia kupunguza maumivu kwa muda na kwa kiwango kikubwa.

Download options
BBC logo
Photo
16 Sep 2026, 06:28 GMT

Mwaka 2014, alihitimu shahada ya Computer Science akiwa na matumaini ya kupata kazi katika taaluma aliyosomea. Hata hivyo, hali ya soko la ajira ilimlazimu kutafuta njia nyingine ya kujikimu.

Download options
BBC logo
Photo
16 Sep 2026, 04:55 GMT

Mierers alidai kuwa yeye ni "kiumbe" kutoka sayari ya Arcturus ambaye amechukua umbo la mwanadamu ili kueneza maarifa duniani.

Download options
BBC logo
Photo
16 Sep 2026, 04:29 GMT

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Download options
16 Sep 2026, 04:16 GMT

Shauku ya Wakenya kwa riadha na maboresho ya miundombinu yaliisaidia Kenya kushinda zabuni ya kuandaa Mashindano ya Dunia ya Riadha 2029, lakini bado kuna changamoto mbele.

Download options
BBC logo
Photo
16 Sep 2026, 03:29 GMT

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Download options
16 Sep 2026, 02:44 GMT

Waziri wa Jeshi la Anga la Marekani, Troy Meink, amesema silaha hiyo iliyoko kwenye mzingo wa dunia ama obiti ni muhimu kwa ajili ya kulinda majeshi ya Marekani.

Download options
BBC logo
Photo
15 Sep 2026, 16:29 GMT

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Download options
15 Sep 2026, 11:01 GMT

Lishe bora inaweza kusaidia afya ya akili na hali ya hisia. Wataalamu wanapendekeza kula kwa vipindi vya kawaida, kunywa maji ya kutosha, kupunguza vyakula vilivyosindikwa na kula zaidi vyakula vya asili.

Download options
BBC logo
Photo
15 Sep 2026, 10:03 GMT

Mvutano huo mpya unaongeza wasiwasi kuhusu usalama wa eneo la Ghuba na hatari ya kuongezeka kwa mzozo ambao unaweza kuathiri biashara ya kimataifa na usambazaji wa nishati duniani.

Download options
BBC logo
Photo
15 Sep 2026, 04:42 GMT

Wanasaikolojia wanasema nyota zinazotoweka zinaweza kuzidisha magonjwa ya akili, kwa kuondoa uhusiano wa muda mrefu wa mwanadamu na ulimwengu wa asili.

Download options
BBC logo
Photo
15 Sep 2026, 04:29 GMT

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Download options
15 Sep 2026, 03:58 GMT

Ripoti zinaeleza kuwa Urusi imetumia ndege zisizo na rubani zilizobeba urani iliyopunguzwa kiwango cha mionzi katika mashambulizi yake dhidi ya Ukraine.

Download options
BBC logo
Photo
15 Sep 2026, 03:29 GMT

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Download options
15 Sep 2026, 02:53 GMT

Mvutano unaendelea kuongezeka katika njia za usafirishaji wa baharini, huku Iran ikisema Jumatano kwamba ilishambulia meli 20 zilizojaribu kuvuka Mlango bahari wa Hormuz.

Download options
BBC logo
Photo
14 Sep 2026, 16:29 GMT

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Download options
14 Sep 2026, 09:54 GMT

Ingawa zaidi ya miaka 20 ya maisha ndani ya Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) imetoa maarifa muhimu kuhusu kuishi angani, Mwezi unakuja na mazingira na hatari tofauti kabisa.

Download options
BBC logo
Photo
14 Sep 2026, 09:52 GMT

Kutoka kwa mbuzi-bahari dume anayelea mtoto wake hadi viumbe adimu wa bahari kuu, tazama picha 10 zinazoonyesha uzuri na changamoto za bahari za dunia.

Download options
BBC logo
Photo
14 Sep 2026, 05:52 GMT

Binadamu wamejaribu njia mbalimbali za kukaribia katikati ya chini ya ardhi - lakini swali unaloweza kuwa unajiuliza ni kwamba nini hasa kipo kwenye kina hicho kisichofikika?

Download options
BBC logo
Photo