NewsBabel NewsBabel

Global headlines in real time

← Back to Direct feed

Lissu Mahakamani: 'Maneno hayawezi kuwa matendo'

27 Sep 2026, 12:19 GMT
Download metadata bundle
BBC logo
Article Lissu Mahakamani: 'Maneno hayawezi kuwa matendo'

Kwa siku ya tatu hii leo Lissu anaendelea na majumuhisho juu ya kesi inayomkabili baada ya hatua ya ushahidi kumalizika kwa pande zote mbili. Alianza kugusia sheria na kanuni, anaendelea kugusia ushahidi