Kwa nini IPU ni fursa nyingine adhimu kwa Tanzania?
Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji wa mamia ya wabunge kutoka sehemu mbalimbali duniani wakati Arusha itakapofanyika Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026.