NewsBabel NewsBabel

Global headlines in real time

← Back to Direct feed

Mashahidi wa Lissu - IGP na CDF hawapo nchini, Kingai kuitwa mahakamani Ijumaa

16 Sep 2026, 17:02 GMT
Download metadata bundle
BBC logo
Article Mashahidi wa Lissu - IGP na CDF hawapo nchini, Kingai kuitwa mahakamani Ijumaa

Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa hadi Ijumaa baada ya mahakama kuelezwa kuwa mashahidi watatu waliotajwa walipelekewa wito lakini walidaiwa kuwa nje ya nchi.